NYOKA MKUBWA WA AJABU ATOKEA KASULU KIGOMA, HOFU YATANDA KWA WAKAZI WA ENEO HILO.
HTML-код
- Опубликовано: 28 мар 2025
- #Subscribe #Kasulu #Snake
Ana unene mithiri ya nguzo ya umeme, tazama hii...
_____________________________________________________
/ ntwiromediajoemgereza
_____________________________________________________
/ ntwiromedia
______________________________________________________
Watanzania bana mnapenda Sana kuilaum serkali kila k2 serkali kwani iyo kijiji haina wanaume mura mmekaa serkali serkali
Juzi tu huku kwetu mtaa wa Jisalimishe county ya Nairobi Kenya nyoka moja aina ya chatu ilimeza mlevi mmoja alieanguka mtaro kalala. Chatu alishiba sana kashindwa kutembea. Tukamchinja na kwa tumbo tukapata mzee Kinara Bakari. Watanzania ndugu zetu mkilewa msilale kwa mitaro msijipate tumboni msizotarajia.
To my
Alitoka mzima
😂😂😂😂😂😂😂😂 nyoka anakula bataa.
@@valenakomba7686 🤣🤣🤣
Wataaamu wapo ...kwa nini wasimkamate na kumuua ili asiendelee kuogopesha wana Kasulu...
Pole sana neema isaya kwamkasa wanyoka
Poleni sana Wana kasulu
@@JanethSall asante
Pole sana
hii africa bana 😂😂😂 sawa alikuwa na macho mekundu sawa sawa
Bora Martha kadange nimekwelewa😢
Mimi ni mkongo. Hapo ni hali ya zarura hakuna haja ya serikali .vijana na wanaume wa hiyo kijiji muchukuwe mbwa alafu shikeni mapanga na mikuki na mishale. Mkingoja serkali itachelewa na mtajutia baadaye. Kama kwetu Congo tayari angeuliwa mara moja.
Iyo nzoka duuuh 🙌🙌🙌
Hatare
😂😂😂😂 nyie mna kula Bata mnatak nyoka asile bata
@@FrankAthuman-cw4gr 🤣🤣
Hatari sana. Poleni
Poleni ndungu zangu wa kigoma
Awanyoka kigoma wapo wengi kwenye Poli la lugufu nilishuhudia wengi wanakula kondoo acheni kuwaza upuuz
Poleni sana nduzangu
@@AmburoziFumbuka Asante sana
Atali sana tumuombe mungu sana maana nimlinzi tosha bila mungu wote wangesha jeluhiwa na nyoka hiyo poleni
Uyo nyoka yupo wapi sasa au umnatumalizia tu mbs
Huyo nyoka kwann asiuliwe serikal iko wap au mpaka huyo nyoka aume watoto?
Polen sana na hiyo Ni mitihani tu
Polenii Sanaa jaman,
@@MagrethFelisian asante ndugu
Poleni jaman uyo wamtu sio wakawaida
Tanapa mlishughurikie hilo swala akikosa kula bata na kuku atakula watu
Icee poleni sana na changamoto kubwa sana namna hiyo
Tanzania hii tabia ya kila kitu serikali iwateteee ni ufinyu wa akili yaani nyoka Kama nyota eti tunaomba serikali itutetee mambo mengine sasa ni uroho wa ulalamikaji hata nyoka kweli eneo Hilo kumwaga tu oil chafu anaondoka mwenyewe tayari serikali itusaidie
Mmmh
@@suzanfelix7703 iii
ii
@@suzanfelix7703ii
iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Bien
Duh maajabu hayo
Poleni
Serikali iwatetee kwa joka ama 😂
Serekali ipeleke kikosi maalum .apingwe risasi.hrk.asije kumzuru.mtuu.
Tumepen maajab ya kigoma maan tunapasikiya mtandaaon
Badae hayo nyoka kuonekana ilifanywanini? Ju hayo nyoka ni hatari kuishi na watu karibu.
Mbona maelezo ya mtu wa kwanza ni kama uongo ahahaha hakuna kitu hapo
Thanks
mbona haonyeshwi nyoka mwenyew
Mtoto Anasema Kinyoka Lakini Uyo Jamaa Anasema Mlefu Mfano Wa Nguzo Ya Umeme Ukweli Wa Uyo Nyoka Bado Mashakani
@@AwaziRajab 🤣🤣🤣🤣
Poleni wanakijij chukueni mikuki mkamuuwe vitu vingine ni vya kujilinda wenyewe
Waah
Duuh Mungu atunusul sana
Polen San watanzania wenzangu
@@JusterNachanzi asante
Nice
Hivi haya mambo mbona Chuga hakunaga🤔😂
Waha mlinamagambo
Leann msimkamate na kumhua
Duuuuuu Aiseee poleni Sana watu wakasulu
mbona kidimbwi watu wanakula bata hamsemi...?
Atameza watoto 🤔🤔🤔
Eeeh jaman
Wazee wa Kiha ni wataalamu sana ...kwa nn wasimwondoe ...au amefugwa na mtu hapo Kasulu...wazee wakae faragha..
Mnashindwa kumtafuta auwawe mnasubili serikali iwasaidie nini juu yako
waongo 2 mbona nyoka hamuonyeshi
Ni Kwa Nini ukipiga kelele watu hawakutoka kigoma ni wachawi sana
@@asteriashios1852 🤣🤣🤣
Huyo ni jini katumwa damu co hali ya kawaida
pengine anafugwa na mtu hapo mtaani .
Basi anakonda huyo anameza watu .
Huyo in mini wa jadi.
Where did the snake come from
Ila Hawa jamaa wa huko wachawi sana...!..yaani hawabadiiiki, Karne ya 21 hii BADILIKENI nyie ..!
Huyo mrembo anaitwa Neema nipeeni nikamuoe mtoto mzuri sana
Wewe unawaza upumbavu tu
Hilo Joka Inaonekana Ni Tishio
Noooma
Mungu epusha hili
Ci
Niliwahi kusikia kigoma kuna nyoka wa kichawi, na simba za kichawi
I'm
Kuna jamaa wa Kigoma alikuwa anakamata nyoka hata akiwa pangoni atatoka mwenyewe kwa madawa yake anauoyafanya/alochanjiwa, akishamkamata huyonyoka anamfanya kitoweo na kumla.
Sasahi huyo jamaa kachanganyikiwa akili; alikuwa na maendeleo; duka, nyumba, Pikipiki nk vyote kauza !
Subhannallah.
Uongo umezid
Pole
Nmh polen duh
Ok
Jaman sasa serikali inahusika nn na nyoka
Mmmmh mbona hatari hiyo
Nomaaa
Waha ndio wachawi wakubwa wa Tanzania mnashindwa kumuondosha nyoka mjini
😂😂
Huyo nyoka wanuta maanaseyo wakawaida
Pollen sana
Jopo la watoto
km birhday 😁😁😁
Kijiji Cha wapi jaman huko kwetu
@@JekoniaShaldreck-j6m Kasulu
Nikweli kabisa
Poreni sana😢
@@BahatiCharles-p2t Asante mkuu
Wafunge nakuomba mungu atampeperusha mbali kwamoto was Yesu
Waha ni kiboko wachawihao wanafuga nyoka nyienafuga BATA tuu au? Fugeni Kuku
Huyo ni joka siyo nyoka
@@jesusfirstchurch4162 🤣🤣🤣
hatar pole
@@FatimaKasim-c8j Asante
How
Polen
Uwongo mita 6 awezi kuwa mnene asemavyo
Hao walionusurika na Huyo nyoka tuendelee kuwaombea Huyo nyoka afanyiwe msako wamuue anaweza kudhuru had wananchi
Hello hello are you fine my name is Simon where are you now actually this is RUclips okay sure I shoot me your photo and location is Sophie where are Sophie academy
Ni nyoka au kiskeleton Cha Nairobi kimepita
Si mba
Pollen jaman
Duuuh
Diy poleni
Angekuwep mtaan kwetu asingepona
Kuna nyoka wakuua bro
poreni sana wamhira
@@Shadiasemdami Asante
Kwani serikari hawajapewa tarifa
Nyika ni mama kama wegine
Kigoma moja ni hatari sanaaaa
Akh huyu joka nimkari san
Huyonyoka atakuwanipepo
Dimondi na zuchu nitasubiri
Yebhagamwe eheee
Wachina tu waje huko
Duuh
Huyo nyoka kafugwa
@@KyelaparalegalUnit itakua
Sio chatu huyo
@@charlesmakuri792 ni nini?
Ayanwadani